
Ikiwa haijulikani ilipo kwa zaidi ya siku sita, habari nyingine kuhusu ndege hii iliyokua na abiria 239 zinaonyesha machahe mapya kwamba muda mfupi baada ya kupaa kuna mtu alizima kifaa cha mawasiliano cha ndege hiyo ambacho hutuma mwenendo wa ndege ardhiniUnaambiwa saa kadhaa kifaa kingine cha kuonyesha mwelekeo na speed ya ndege kilizimwa, hiyo ni wakati ndege ipo katikati ya bahari na hapo ndio mamlaka ya anga Malaysia walisema ndege imewapotea.Time hizohizo walisikia sauti kutoka kwenye ndege ikisema alright, usiku mwema yani mtu akiashiria kila kitu kilikua poa.
Rubani Zaharie Ahmad Shah.
No comments:
Post a Comment