Saturday, 15 March 2014

#FAHAMU VIDEO ya Diamond Inayoshika Namba Moja Trace Tv Wiki Ya Pili Sasa



Diamond kapewa shavu na mshkaji wake wa karibu msanii Shetta kwenye Instagram yake kwa kuweka hii post ya video ya Diamond Ft Davido – My Number 1 Remix ikiwa namba 1 kwenye Chati ya Video Bora za Africa ikiwa ni wiki ya Pili sasa. #Honngera



Ujumbe wa Shetta Ndio Huu

“For the second week now Tanzania inashika nafasi ya kwanza Katika kituo cha Trace Tv Ufaransa kwenye chart ya Nyimbo kumi Bora za Africa…. naamini tukiwez kuongeza juhudi na kushirikiana basi mziki wetu utafika zaidi kwenye kilele…. Trust me we can do that #angaliambeleeee “

No comments:

Post a Comment