Friday 17 June 2016

CHAMA CHA CUF CHAMKANA PROF LIPUMBA

Ibrahim Lipumba.jpg






Hatimaye chama cha CUF chamkana prof lipumba na kusema anataka kugawa chama kwa maneno yake ya kutaka kutengua kurudi kwenye nafasi yake aliyekaimu

Monday 13 June 2016

PROFESA LIPUMBA AANDIKA BARUA YA KURUDI CUF

Ibrahim Lipumba.jpg

PROFESA Lipumba aandika barua kwa katibu mkuu wake Maalim Seif kuomba kurudi ndani ya chama baada ya miez kadhaa kuandika barua ya kujiuzulu

Majibu ya Abdu Kiba Kuhusu kujiunga WCB ya Diamond Platnumz




Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii kutoka Bongoflevani Abdu Kiba yuko tayari kujiunga na Lebel ya WCB ya Diamond Platnumz, June 8 2016 pamoja na millardayo.com imekutana na Abdu Kiba na katoa majibu haya kutokana na taarifa hii ya kujiunga WCB.


>>’Si kweli kama watu walivyomaanisha nashangaa taarifa ambazo zinasambaa kuwa mimi ninaweza kukaa mezani na kusaini WCB hapana mimi sikumaanisha hivyo kwa sababu kwanza mimi niko chini ya Lebel yangu ambayo wanasimamia muziki wangu, halafu kwenye upande wa kuimba sidhani kama upande ule ninaweza kupata madini zaidi ya huku’